Mkurugenzi mtendaji wa Strong Women Foundation,lililopo jijini Mwanza Neema Ng'asha,leo amekwenda kuwapa msaada wa chakula watoto wanaopitia mazingira magumu.Ameiomba jamii kuwa kumbuka watoto wanaopitia mazingira magumu kwa kuwapata chakula na kuhakikisha wanapata elimu na malezi bora.
Pia ameomba wadau wenye moyo wa kusaidia jamii waungane na taasisi zinazofanya kazi ya kusaidia jamii kwa ujumla tuweze kuleta mabadiliko makubwa kwa jamii yetu.
Kama kuna mtu ataguswa kuwa mmoja wa wadau wa Strong Women Foundatio tunaomba awasiliane nasi kwa namba 0754 220078.


No comments:
Post a Comment