Meya wa jiji la Mwanza,Mheshimiwa Sima Costantine Sima,amekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Shirika la Strong Women Foundation (SWF)lililopo jijini Mwanza.
( Mhe.Sima Costantine Sima akiongea)
Uzinduzi huu uliofanyika katika kumbuka wa Mwanza Hotel na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa maendeleo jijini Mwanza
Shirika la Strong Women Foundation ni asasi isiyokuwa ya kiserikali yenye makao yake makuu jijini Mwanza.Shirika hili linafanya kazi ya kusaidia wanawake,mabinti na watoto wanaopitia mazingira magumu.
(Bodi member wa Strong Women FoundationBeth Mpuya Gambaloya )Katika uzinduzi huu Meya wa jiji la Mwanza Amepongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Strong Women Foundation Neema Ng'asha pamoja na viongozi wote wa shirika hilo kwa kazi njema wanayofanya kusaidia jamii yetu.
Kikundi cha MWANAMKE NGUZO kutoka Strong Women Foundation wakimuuzia mgeni rasmi bidhaa walizotengeneza.






No comments:
Post a Comment