Kwa mawasiliano zaidi.

Name

Email *

Message *

Monday, September 5, 2022

WAJUMBE WA BODI PAMOJA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA STRONG WOMEN FOUNDATION.

 

Wajumbe wa bodi pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Strong Women Foundation wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Team hii inafanya kazi kubwa sana kuhakikisha inatimiza malengo yake kusaidia wanawake na mabinti Tanzania.

Kushoto ni Mr Michael Petro Kaaya (Gender& Children Affairs Officer),Neema Ng'asha (Mkurugenzi mtendaji wa Strong Women Foundation),Christina Msegu(Research &Planning Officer),Beth Mpuya Gambaloya(Mhazini mkuu  na founder member) na Neema Petro Eliya(Founder  member wa Strong Women Foundation ).

IFAHAMU STRONG WOMEN FOUNDATION.


 Strong Women Foundation ni asasi isiyokuwa ya kiserikali yenye makao yake makuu jijini Mwanza.

Strong  Women Foundation imelenga zaidi kusaidia wanawake/mabinti wanaoishi katika mazingira magumu katika jamii yetu pia inasaidia watoto na vijana.

Malengo yetu ni kuona tunabadili maisha ya wanawake wa Tanzania kifikra na kiuchumi.

Tunaandaa semina za wanawake na mabinti  ambazo zitawajengea uwezo wa kujiamini kuwa inawezekana haijalishi mazingira wanayopitia.Pia semina za ujasiriamali tunazoandaa zitasaidia wanawake na mabinti kujikwamua kiuchumi kwa kufanya biashara ndogo ndogo.

Pichani ni baadhi ya wanawake waliohudhiria semina zetu.

Shikira la Strong Women Foundation latoa msaada wa vifaa vya shule kwa watoto.

 Shirika la Strong Women Foundation (SWF) Tanzania lenye makao yake makuu jijini Mwanza.Limetoa vifaa vya shule kwa watoto wanaopitia mazing...